Kariobangi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kariobangi
Kariobangi
Mstari 1:
'''Kariobangi''' ni mtaa wa [[Nairobi]] ulio upande wa mashariki wa Nairobi kati ya [[Dandora (Nairobi)|Dandora]] na [[Huruma (Nairobi)|Huruma]]. Kuna Kariobangi North[[Kaskazini]] na Kariobangi South[[Kusini]]; nyumba ziko za ghorofa lakini kuna pia maeneo ya mabanda.
 
Mtaa huu unajulikana sana kwa malori ya kusafirisha vifaa vya ujenzi kama vile changarawe, mawe na kadhalika.
 
{{Mbegu}}
 
[[Category:Mitaa ya Nairobi]]