Kigyem : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kigyem''' ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wagyem. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kigyem ime...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:32, 4 Mei 2012

Kigyem ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wagyem. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kigyem imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Ki kiko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigyem kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.