Charles Nicolle : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza fi:Charles Nicolle
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:JulesCharles NICOLENicolle at microscope.jpegjpg|thumb|Charles Nicolle]]
'''Charles Jules Henri Nicolle''' ([[21 Septemba]], [[1866]] – [[28 Februari]], [[1936]]) alikuwa daktari kutoka nchi ya [[Ufaransa]]. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa mbalimbali. Alikuwa wa kwanza kueleza jinsi ya kuenea kwa homa ya madoa madoa. Mwaka wa [[1928]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Tiba'''.