Kahawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza zu:Ikhofi
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza vep:Kofe; cosmetic changes
Mstari 19:
Kuna njia mbalimbali za kutengeneza kahawa zinazotofatiana kati ya nchi na nchi. Watu wanakoroga sukari au maziwa katika kahawa kulingana na mapenzi yao.
 
* ''' Kahawa ya kuchemsha''': unga pamoja na maji hukorogwa katika sufuria juu ya moto na kuchemka polepole. Njia hii hupendwa katika nchi za [[Mashariki ya Kati]], [[Afrika ya Kaskazini]], [[Uturuki]] na [[Ugiriki]]. Inapatikana pia katika Uswahilini kama desturi yenye asili ya Uarabuni.
 
* ''' Espresso''': Unga huwekwa katika ya chujio ndani ya mashine na maji ya kuchemka hupitishwa kwa shindikizo katika unga. Asili ya mashine hizi ni [[Italia]] lakini zimeenea duniani. Kahawa yake ni nzito lakini inakorogwa mara nyingi pamoja na maziwa au povu ya maziwa.
 
* ''' Kahawa ya filta''': Umga huwekwa katika mfuko wa karatasi ya filta juu ya birika na maji ya kuchemka humwagwa juu yake yakitirikika chini polepole. Kuna pia filta za metali. Mara nyingi watu wanatumia machine wakijaza unga kwenye filta na maji kwenye chobo cha mashina na kuwasha macine tu inayochemsha maji yanayotiririka polepole kuingia katika filta.
 
* Kuna pia birika au machine zinazoiga mwendo wa esperesso lakini bila shindikizo kali hivi. Kwa mfano kuna birika ambako unga na maji ya kuchemka zinamwagiliwa pamoja. Mchanganyiko unakaa kwa dakika moja mbili, halafu kuna chujio kwneye mfuniko wa birika inayosukumwa chini polepole. Unga unashikwa chini na kahawa inapita kukaa juu.
 
* ''' kahawa mumunyifu''': inatengenezwa kwa kutumia unga wa pekee ulioandaliwa kiwandani. Hapa kahawa inatengenezwa kiwandani halafu maji huondolewa kwenye kahawa na unga unabaki unaokorogwa tu katika maji ya moto na kahawa ni tayari. Watu wengi wameizoea kwa sababu inatengenezwa haraka lakini wapenzi wa kahawa mara nyingi wanalalamika ya kwamba sehemu ya ladha inapotea.
 
 
Mstari 41:
* [http://www.coffeehabitat.com Coffee & Conservation] and [http://www.missiongrounds.com Gourmet Coffee Facts] - Resources on organic coffee
* [http://www.coffeeishealth.org Coffee is Health], the most recent book about coffee, including its history and health benefits.
 
[[Jamii:Vinywaji|Kahawa]]
 
{{Link FA|vibar}}
{{Link FA|es}}
{{Link FA|no}}
{{Link FA|th}}
{{Link FA|bar}}
{{Link FA|tt}}
{{Link FA|barvi}}
{{Link FA|yi}}
 
Line 173 ⟶ 172:
[[uz:Qahva]]
[[vec:Cafè]]
[[vep:Kofe]]
[[vi:Cà phê]]
[[vls:Kaffie]]