Mali (Kipindi cha Televisheni ) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''''Mali''''' (United by Blood : Divided by Greed) ni kipindi cha televisheni nchini Kenya. Kwa sasa, Mali huonyeshwa katika stesheni la runinga la [[NTV (Keny...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 21:16, 8 Mei 2012

Mali (United by Blood : Divided by Greed) ni kipindi cha televisheni nchini Kenya. Kwa sasa, Mali huonyeshwa katika stesheni la runinga la NTV (Kenya) na unapangwa kurushawa hewani nchini Ugansda kwanzia mwaka wa 2012. Kipindi cha kwanza kilionyeshwa mnamo Jumatano 12, 2011.[1] It is the first Kenyan programme in its genre to run three times a week on NTV (Kenya)[2]

  1. http://www.ntv.co.ke
  2. http://pluskenya.blogspot.com/2011/09/mali-new-kenyan-soap-opera.html