Jamhuri ya Kituruki ya Kupro ya Kaskazini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:TrncNorthern Cyprus in its region (de-mapfacto).gifsvg|thumb|350px|Kupro ya Kaskazini]]
'''Jamhuri ya Kituruki ya Kupro ya Kaskazini''' ([[Kituruki]]: ''Kuzey Kıbrıs Türk Cumhuriyeti'') ni nchi isiyotambuliwa na jumuiya ya kimataifa iliyoko sehemu ya kaskazini ya kisiwa cha [[Kupro]]. Eneo lake ni 3,335 km² kuna wakazi lakhi mbili karibu wote ni Waturuki pamoja na Wagiriki 3,000 waliobaki kwenye rasi ya Rizokarpaso. Mji mkuu ni sehemu ya kituruki ya [[Nikosia]].