Mtume Mathia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (roboti Nyongeza: nds:Matthias (Apostel)
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Saint Matthias.PNG|200px|thumb|right|Mt. Mathia alivyochorwa na [[Simone Martini]].]]
'''Mtume Mathia''' kadiri ya [[Matendo ya Mitume]] 1:21-22 alikuwa mfuasi wa [[Yesu Kristo]] tangu alipobatizwa na [[Yohane Mbatizaji]] hadi alipopaa mbinguni.
{{Mitume 12 wa Yesu}}
'''Mtume Mathia''' (kwa [[Kigiriki]] ''Matthias'' kutokana na ''Mattathias'', kwa [[Kiebrania]] ''Mattithiah'', maana yake "Zawadi ya Mungu") kadiri ya [[Matendo ya Mitume]] 1:21-22 alikuwa mfuasi wa [[Yesu Kristo]] tangu alipobatizwa na [[Yohane Mbatizaji]] hadi alipopaa mbinguni.
 
Kabla ya [[Pentekoste]] [[Mtume Petro]] alipendekeza mmoja kati ya wafuasi wa kwanza wa [[Yesu]] ashike nafasi ya marehemu mtume [[Yuda Iskarioti]], na bahati ilimuangukia Mathia.
 
Ingawa [[Biblia]] haina habari zaidi juu yake, anaheshimiwa kama [[mtakatifu]], hasa tarehe [[14 Mei]] ([[Kanisa Katoliki]] na [[Anglikana]]), tarehe [[9 Agosti]] ([[Waorthodoksi wa Mashariki]]) na tarehe [[24 Februari]] ([[Walutheri]] na wengineo).
{{Mitume 12 wa Yesu}}
 
==Viungo vya nje==
Kwa [[Kigiriki]] jina ''Matthias'' linatokana na ''Mattathias'', kwa [[Kiebrania]] ''Mattithiah'', maana yake "Zawadi ya Mungu".
{{Commons category|Saint Matthias}}
 
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
[[Jamii:WatakatifuWafuasi Wakristowa Yesu]]
[[Jamii:Mitume katika Ukristo]]
[[Jamii:Watakatifu wa Israeli]]
 
[[ar:متياس]]