Mageuko ya spishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imebadilisha: mr:उत्क्रांती
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza ilo:Ebolusion; cosmetic changes
Mstari 1:
'''Mageuko ya spishi''' ni [[nadharia]] ya ki[[sayansi]] iliyobuniwa na kutumiwa na wataalamu wa [[biolojia]]. Inasema ya kwamba [[spishi]] za [[viumbehai]] zilizopo duniani leo zimetokana na spishi zilizokuwa tofauti za zamani. Nadharia hii inategemea ya kwamba awali maisha yote yametokana na maumbo asilia. Katika wazo hili spishi zote jinsi zilivyo sasa zinaendelea kubadilika.
 
Msingi wa nadharia hii ni mabaki ya [[kisukuku]] ya viumbehai ambao hawapo tena duniani lakini wanaofanana kiasi na viumbehai wa leo, pamoja na ulinganifu wa spishi za karibu na mbali zaidi. Nadharia ya mageuko ya spishi inalenga kueleza mabadiliko haya.
Mstari 7:
Leo hii ni nadharia ya kibiolojia inayokubaliwa na wataalamu wengi hata kama kuna wapinzani kadhaa hasa upande wa wenye [[imani kali]] ya [[dini]], lakini pia wachache kwa sababu za kitaalamu.
 
[[ImagePicha:Tree of life.svg|thumb|right|250px|''Mti wa uhai'' huonyesha mabadiliko wa spishi tangu mwanzo wa uhai]]
 
== Marejeo ==
{{reflist|2}}
 
Mstari 23:
*[http://www.pbs.org/wgbh/evolution/ PBS], on evolution site
 
[[CategoryJamii:Biolojia]]
 
{{Link FA|id}}
{{Link FA|bg}}
{{Link FA|ca}}
{{Link FA|en}}
{{Link FA|es}}
{{Link FA|id}}
{{Link FA|ko}}
{{Link FA|pt}}
Mstari 76:
[[ia:Evolution]]
[[id:Evolusi]]
[[ilo:Ebolusion]]
[[is:Þróunarkenningin]]
[[it:Evoluzione]]