Michael Jackson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza co:Michael Jackson
Mstari 31:
Michael aliandika nyimbo nyingine maarufu ambazo ni '[[Bad (wimbo)|Bad]]' na '[[Black or White]]'. Huyu pia huitwa [[mfalme]] wa pop duniani.
[[Picha:Jackson5.jpg|thumb|300px|mtoto Michael pamoja na kaka zake katika kundi la '''Jackson Five''']]
 
== Maisha binafsi ==
Maisha binafsi ya Michael Jackson yalikuwa yakifahamika sana. Pia, alishawahi kutiwa shaurini kwa unyanyasaji wa mtoto, lakini hakukutanika na kosa. Alifanya upasuaji maalumu ili abadilishe mwonekano wake. Michael aliyezaliwa kwa maumbile ya [[Mwamerika mweusi]] mwishoni alikuwa na ngozi nyeupe usoni na baada ya upasuaji kadhaa pua lake likawa nyembamba si pana tena. Mwenyewe alidai ya kwamba badiliko la rangi lilisababishwa na ugonjwa. Watu waliomtazama hawakupatana kama mabadiliko ya kimaumbile yalikuwa ama tokeo la kuona aibu kuonekana kama Mwafrika au jaribio kuwa na uso linalorahisisha mawasiliano yake na watu wa bara zote.