Taasisi ya Taaluma za Kiswahili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d mabadilisho ya jamii
viungo
Mstari 10:
Pamoja na kazi ya utafiti katika nyanja mbalimbali za Kiswahili, TUKI inatunga misaada ya kufundisha lugha na [[kamusi za Kiswahili]] mbalimbali.
Kati ya kamusi hizi ni
* [[Kamusi ya Kiswahili sanifu]],
* Kamusi ya Kiingereza -Kiswahili,
* [[Kamusi ya Kiswahili - Kiingereza]],
* Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha,
* [[Kamusi Awali ya Sayansi na Tekinologia]]