Kombe la Mataifa ya Afrika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 12:
{{Wikinews|Egypt wins 2008 Africa Cup of Nations}}
 
'''Kombe la Mataifa ya Afrika,''' ni [[shindano]] kuu la la soka la kimataifa katika [[Afrika]]. Shindano hili husimamiwa na [[Confederation of African Football]] (CAF), na lilichezwa kwa mara ya kwanza mwaka wa [[1957]]. Tangu mwaka wa 1968, shindano hili hutendekahufanyika baada ya miaka miwlimiwili. Wabingwa wa [[FIFA Confederations Cup]] walifuzu katika shindano hili.
 
Katika mwaka wa 1957 kulikuwa na mataifa tatu yaliyoshiriki katika shindano hili ambayo ni: [[Misri]], [[Sudan]] na [[Ethiopia]]. [[Afrika ya Kusini]] walikuwa walikuwa washiriki katika shindano hili lakini walizuiwa kutokana na sera za [[ubaguzi]] hasanchini serikalinihumo.<ref>http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/africa/cup_of_nations/1709599.stm</ref> Tangu wakati huo, mchuano huu umeenea, na kusababisha michuano ya kufuzu. Idadi ya walioshiriki katikafainalikatika fainali ya shindano hili ilifika 16 katika mwaka 1998 (timu 16 zilikuwa zishiriki katika shinano hili mwaka wa 1996 lakini Nigeria walijitoa na kubakia timu 15), na tangu wakati huo, imebaki kuwa timu 61 ndizo zinashiriki katika shindano hili. ,Timu hizi hugawanywa katika vikundi ambavyo kila kundi kina timu nne ambapo timu mbili bora katika kila kundi ndizozilifaulundizo zinafaulu katika hatua ya ya pili.
 
[[Misri]] ndiyo taifa iliyofanikiwalililofanikiwa zaidi katika historia kombe hili kwanikwa wanakuwa na rekodi ya kushinda kombe hili mara sita. [[Ghana]] na [[Kamerun]]wameweza kunyakuwa ubingwa mara nne. Nyara tatu tofauti zimetunzwa katika historia ya shindano hili. [[Ghana]] na [[Kamerun]]wameshinda matoleo mawili ya kwanza baada ya kila timu kushinda shindano hili mara tatu mfululizo . Nyara iliyo sasa ilitunzwa mara ya kwanza mwaka wa 2002.
 
== Historia ==
=== 1950-60:uenezaji wa shindano la ANC ===
Chimbuko la Kombe la Mataifa ya Afrika lilikuwa mnamo tarehe Juni 1956, wakati uumbajiuundaji wa Confederation of African Football ulipendekezwa katika mkutano wa tatu wa bunge la [[FIFA]] mjini [[Lisbon]]. Kulikuwa na mipango ya haraka kwa mashindano ya mataifa ya bara kufanyika, na mwaka wa 1957 mwezi wa Februari shindano la [[kwanza]] la Kombe la Mataifa ya Afrika lilifanyika mjini [[Khartoum]], [[Sudan]]. Hakukuwa na mechi za kufuzu katika shindano hili , kwani uwanja ulikuwa na mataifa manne ambao ndio wanzilishi wa CAF (Sudan, Misri, Ethiopia, na Afrika ya Kusini). kukataaKukataa kwa Afrika ya Kusini kupeleka kikosi [[chenye wachezaji wa rangi tofauti]] katika ushindani kulisababisha wao kuadhibiwa na EhiopiaEthiopia iliweza kufuzu katika fainali .<ref name="BBC-began">
{{Cite web
| url=http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/football/africa/cup_of_nations/1709599.stm
Mstari 30:
Kutokana na tukio hilo mechi mbili ndizo zilizochezwa na Misri kuwa bingwa wa kwanza katika bara baada ya kushinda Sudan katika nusu fainali na Ethiopia katika fainali. Miaka miwili baadaye, Misri ndiyo ilikuwa mwenyeji wa pili wa ANC mjini [[Cairo]] ambapo timu zile tatu ndizo zilishiriki .Kama mwenyeji na bingwa tetezi Misri iliweza kushinda baada ya kuwalaza sudan katika fainali.
 
ShinanoShindano hili lilienea na kuwa na timu tisa ambazo zilishiriki. Shindano hili la [[tatu]] la [[ANC mwaka 1962]]lilikuwa mjini [[Addis Ababa]], na kwa mara ya kwanza kulikuwa na mechi za kufuzu ambapo timu nne zilifuzu kupigania ubingwa. Ethiopia kama mwenyeji Misri kama bingwa tetezi zilipata fursa ya kufaulu mara moja, na kuungwa na Nigeria na Tunisia katika timu nne za mwisho zilizo waania ubingwa. Misri iliweza kucheza fainali kwa mara ya tatu lakini Ethiopia waliwezakushinda, baada ya kupiga Tunisia katika semifinali nakulaza Misri katika [[muda wa ziada]].
 
=== 1960: Ghana utawala ===