Hanse : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: pnb:ہانزا جٹ
d r2.7.3) (Roboti: Imebadilisha: fa:هانزا; cosmetic changes
Mstari 1:
[[Picha:Njia za Hanse.jpg|thumb|right|280px|Miji muhimu na njia kuu za biashara ya Hanse]]
[[FilePicha:Adler von Lübeck.jpg|thumb|right|280px|"Adler von Lübeck" ilikuwa manowari ya Hanse 1566-1588 na meli kubwa duniani wakati wake]]
'''Hanse''' ([[Kijerumani]]:die Hanse, [[Kiholanzi]]: de Hanze,[[Kisweden]]: Hansan) ilikuwa shirikisho la miji ya biashara katika Ulaya ya Kaskazini na hasa ushirikiano wa wafanyabiashara wa miji hii.
 
== Ushirikiano wa kusaidiana ==
Ushirikiano huu ulikuwa mwanzoni na shabaha ya kusaidiana katika ulinzi wa njia za biashara dhidi ya [[majambazi]] na [[maharamia]]. Wanfanyabiashara wa Hanse waliendelea kupeana msaada pia katika mambo ya biashara yenyewe kwa kupunguza mashindano kati yao wenyewe na dhidi ya biashara isiyokuwa ya Hanse.
 
== Kilele cha Hanse ==
Kati karne ya 13 hadi 16 shirikisho la Hanse ilikuwa na nguvu kubwa ya kiuchumi, kisiasa na kijeshi. Msingi wa uwezo wake ulikuwa biashara yenye faida kubwa katika [[Bahari ya Baltiki]]. Malighafi kutoka [[Urusi]] ya Kaskazini na [[Skandinavia]] kama vile [[ngano]], [[ubao]], [[nta]] na [[ngozi ya manyoya]] zilipelekwa Ulaya ya Kati wakati bidhaa kutoka miji ya Ulaya ziliuzwa kwa faida nzuri. Wafanyabiashara wa Hanse walitawala kabisa biashara kwenye Bahari ya Baltiki hawakuruhusu wengine kuingia hapa. Mji wa [[Novgorod]] ulikuwa kituo muhimu cha Hanse katika Urusi.
 
Kitovu cha Hanse kilikuwa miji ya Ujerumani ya Kaskazini kama vile [[Lübeck]], [[Hamburg]] na [[Danzig]]. Miji ya Hanse ilikuwa pia na maeneo ya ghala maalumu hadi [[London]] na [[Uholanzi]]. Wawakilishi wa miji ya Hanse walikutana katika mikutano na kuamua juu ya siasa ya pamoja. Wakati wa karne ya 14 manowari na wanajeshi wa Hanse ziliweza kumshinda hata mfalme wa [[Denmark]] aliyelazimishwa kukubali kipaumbele cha Hanse katika Baltiki.
 
== Kurudi nyuma tangu karne ya 16 ==
Tangu karne ya 15 uwezo wa Hanse ulianza kupungua kwa sababu watawala makabaila wa bara walipanusha maeneo yao. Novgorod iliharibika vitani na kuwa sehemu ya utemi wa [[Moskva]]. Miji midogo zaidi ya Hanse ililazimishwa kukubali ukuu wa watawala jirani. Kwa hiyo nguvu ya ushirikiano wa Hanse kwa jumla lipungua polepole. [[Vita ya miaka 30]] (1618-1648) katika Ujerumani iliharibu Hanse ya awali kabisa. Miji iliyobaki ilikutana mara ya mwisho mwaka 1669 lakini nguvu ya zamani haikuweza kurudishwa.
 
Mstari 19:
Miji ifuatayo ilikuwa wanachama wa Hanse ya zamani na inaendelea kutumia jina la "mji wa Hanse" hadi leo hii:
 
* [[Anklam]]
* [[Bremen]]
* [[Demmin]]
* [[Greifswald]]
* [[Hamburg]]
* [[Lübeck]]
* [[Lüneburg]]
* [[Rostock]]
* [[Stralsund]]
* [[Wismar]]
 
Miji 100 ya Ulaya iliyowahi kuwa wanachama wa Hanse ya Kale imejiunga tena kwa "Hanse mpya" yenye shabaha ya kutunza urithi wa pamoja wa kiutamduni na kukuza utalii kwenye njia za biashara ya zamani.
Mstari 34:
Kwa jumla Hanse bado inakumbukwa kama ushirikiano ulioweza kuunganisha miji katika nchi mbalimbali.
 
Jina la Hanse laendelea kutumiwa katika makampuni na taasisi mbalimbali kama vile kampuni ya ndege [[Lufthansa]] au klabu ya soka [[Hansa Rostock]].
 
[[CategoryJamii:Historia ya Ulaya]]
 
[[af:Hanse]]
Mstari 59:
[[et:Hansa Liit]]
[[eu:Hansa]]
[[fa:پیمان هانسیتیکهانزا]]
[[fi:Hansaliitto]]
[[fr:Hanse]]