Mtakatifu Paulo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Vatican_StPaul_Statue.jpg|thumb|right|Sanamu ya Mtakatifu Paulo mbele ya [[Kanisa kuu]] la [[Mji wa Roma|Roma]].]]
[[File:PaulusTarsus LKANRW.jpg|thumb|right|Sura yake kadiri ya wataalamu wa [[Landeskriminalamt|LKA]] [[North Rhine-Westphalia]], [[Ujerumani]].]]
'''Mtume Paulo''' ([[7]]-[[67]] hivi) ni [[mmisionari]] mkuu wa [[Yesu Kristo]] katika [[historia ya Kanisa]].
 
Alimaliza ushuhuda wake kwa [[Yesu]] kwa kufia [[dini]] [[Ukristo|yake]] mjini [[Roma]] chini ya [[Kaisari Nero]].
 
== Maisha kabla ya uongofu ==
 
Mtakatifu Paulo ([[7]]-[[67]] hivi) alizaliwa kati ya miaka 7-10 [[BK]] katika [[familia]] ya [[Wayahudi|Kiyahudi]] ya [[kabila]] la [[Benyamini (Israeli)]] na [[madhehebu]] ya [[Mafarisayo]] iliyoishi katika [[mji]] wa [[Tarsus]] (kwa sasa mji huo uko sehemu ya kusini mashariki ya nchi ya [[Uturuki]]).
 
Jina lake la kwanza (la [[Kiebrania]]) lilikuwa '''Sauli''', lakini kadiri ya desturi ya wakati ule alikuwa pia na jina la [[Kigiriki]]: '''Paulos''' kutoka [[Kilatini]] '''Paulus''' (= mdogo). Mwenyewe alikuwa na uraia wa [[Roma]] kama wananchi wote wa Tarsus.
 
Angali kijana alisomea [[ualimu wa Sheria]] (yaani wa [[Torati]]) huko [[Yerusalemu]] chini ya mwalimu maarufu [[Gamalieli]] wa [[madhehebu]] ya [[Mafarisayo]].
 
Akishika [[dini]] yake kwa msimamo mkali akawa anapinga [[Ukristo]] kwa kuwakamata, kuwatesa na hata kuwaua Wakristo, kama vile [[Stefano Mfiadini]] mpaka alipotokewa na [[Yesu Kristo]] mfufuka akiwa njiani kwenda [[Damaski]] (kwa umuhimu wake katika [[Historia ya Wokovu]] habari hii inasimuliwa mara tatu katika kitabu cha [[Matendo ya Mitume]]: 9:1-19; 21:12-18 na 22:5-16).
 
== Baada ya uongofu ==
Mstari 97:
[[Jamii:Watu wa Biblia|P]]
[[Jamii:Watakatifu wa Uturuki|P]]
[[Jamii:Mitume katika Ukristo]]
[[Jamii:Wamisionari]]
[[Jamii:Wafiadini Wakristo]]