Kimashi (Zambia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Baba Tabita alihamisha ukurasa wa Kimashi hadi Kimashi (Zambia): Pia kuna Kimashi, lugha tofauti nchini Nigeria
No edit summary
Mstari 1:
'''Kimashi''' ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Zambia]] inayozungumzwa na [[Wamashi]]. Kisichanganywe na [[Kimashi (Nigeria)|lugha ya Kimashi]] inayozungumzwa nchini [[Nigeria]]. Mwaka wa 1969 idadi ya wasemaji wa Kimashi nchini Zambia imehesabiwa kuwa watu 20,800. Pia kuna wasemaji 2630 (2000) nchi ya [[Angola]] na wengine nchi ya [[Namibia]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kimashi kiko katika kundi la K40.
 
==Viungo vya nje==
Mstari 13:
[[Jamii:Lugha za Angola]]
[[Jamii:Lugha za Namibia]]
 
[[en:Mashi language]]