Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Mikutano/Usimulizi wa Hadithi Kenya"

no edit summary
Leo hii, umma kwa ujumla yafikiria kwamba Wikipedia huandikwa na watu waliolipwa kuandika makala ya Wikipedia. Hawatambui ya kwamba wahariri wa Wikipedia hutoa jitihada ya bila malipo na kuwa hakuna yeyote yule hulipwa kuhariri Wikipedia. Kurekebisha upotofu huu na kutia umma moyo kuwa wahahriri, Wakfu wa Wikimedia pamoja na Wikimedia Kenya wanakusanya hadithi za kibinafsi kutoka kwa wahariri wakenya wa Wikipedia kuhusu jinsi Wikipedia imeathiri maisha yao. Kwa kukusanya na kusimulia hadithi za kibinafsi, umma kwa ujumla yaweza tambua jinsi Wikipedia huundwa na watu wanaoandika Wikipedia hivyo basi kutokea na uwezekano wa hao wenyewe kuwa wahariri.
 
IfKama youuna havehadithi anya interestingkuvutia storykuhusu towewe tell about yourself andna Wikipedia (orama ifkama youwajuwa knowyeyote anyoneanayo) who does),tafadhali pleasewasiliana contactna Victor Grigas:
 
Kama una hadithi ya kuvutia kuhusu wewe na Wikipedia (ama kama wajuwa yeyote anayo) tafadhali wasiliana na Victor Grigas.
 
Victor Grigas
264

edits