Wikipedia:Mikutano/Usimulizi wa Hadithi Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
picha ya Wikipedia stories
picha ya Victor
Mstari 1:
[[File:Wikipedia_Stories.jpg|thumb|500px400px|right]]
[http://en.wikipedia.org/wiki/User:Victorgrigas Victor Grigas], Msimulizi Hadithi kutoka Wakfu wa Wikimedia atasafiri kuelekea Kenya mwezi wa Agosti 2012 kwa shughli ya kuhoji wachangiaji, wafadhili na watumiaji wa miradi mabli mbali ya Wikimedia juu ya ushitika/uhusiano wao na Wikimedia.
 
Mstari 6:
 
==Victor==
[[File:Victor Grigas 007 - Wikimedia Foundation Oct11.jpg|thumb|250px|[http://en.wikipedia.org/wiki/User:Victorgrigas Victor Grigas]]]
:''Ujumbe wa Victor''
Leo hii, umma kwa ujumla yafikiria kwamba Wikipedia huandikwa na watu waliolipwa kuandika makala ya Wikipedia. Hawatambui ya kwamba wahariri wa Wikipedia hutoa jitihada ya bila malipo na kuwa hakuna yeyote yule hulipwa kuhariri Wikipedia. Kurekebisha upotofu huu na kutia umma moyo kuwa wahahriri, Wakfu wa Wikimedia pamoja na Wikimedia Kenya wanakusanya hadithi za kibinafsi kutoka kwa wahariri wakenya wa Wikipedia kuhusu jinsi Wikipedia imeathiri maisha yao. Kwa kukusanya na kusimulia hadithi za kibinafsi, umma kwa ujumla yaweza tambua jinsi Wikipedia huundwa na watu wanaoandika Wikipedia hivyo basi kutokea na uwezekano wa hao wenyewe kuwa wahariri.