Kipe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kipe''' ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wape. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kipe imehesabi...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:05, 2 Juni 2012

Kipe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wape. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kipe imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipe kiko katika kundi la Plateau.

Viungo vya nje

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.