Abjadi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza kk:Әбджад
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza ckb:ئەبجەد; cosmetic changes
Mstari 2:
'''Abjad''' ni jina kwa [[mwandiko]] wa lugha ya [[Kiarabu]] na pia jina kwa kundi la miandiko inayotumia muundo wa kuandika [[konsonanti]] ya neno lakini kuacha [[vokali]].
 
== Jina la mwandiko wa Kiarabu ==
Neno "abjad" linajumuisha herufi 4 za kwanza <big>ابجد</big> a-b-j-d ya mwandiko wa Kiarabu sawa kama "a-b-c" inamaanisha herufi 3 za kwanza za [[alfabeti]] ya [[Kilatini]].
 
Abjadi ilikuwa pia jina la muundo wa namba za Kiarabu kabla ya kupokelewa kwa namba za Kihindi wakati wa karne ya 9 [[BK]]/ 3 BH; hadi wakati ule Waarabu walitumia alama za mwandiko kwa ajili ya mahesabu.
== Jina la kundi la miandiko ya lugha za Kisemiti ==
Mbali na kutaja mwandiko wa Kiarabu neno hili latumiwa pia kwa kutaja tabia za miandiko ya lugha mbalimbali za kisemiti. Zote zina alama kwa ajili ya [[konsonanti]] lakini kwa kawaida [[vokali]] haziandikwi.
 
Mstari 18:
Abjadi za kisasa huwa na uwezekano kuandika vokali pia lakini zinachapishwa tu katika vitabu vya watoto wadogo wanaoanza kusoma au kwa maneno machache yenye matamshi tofauti lakini konsonanti sawa.
 
== Abjadi kama muundo wa mwandiko kwa lugha zisizo Kisemiti ==
Kusoma mwandiko wa abjadi kunaleta matatizo zaidi kuliko kusoma alfabeti au abugida kwa sababu herufi zinaonyesha sehemu ya matamshi tu.
 
Mstari 31:
 
== Vitabu ==
* Peter T. Daniels, William Bright: ''The Worlds Writing Systems''; New York: Oxford University Press, 1995; ISBN 0-19-507993-0
* Н.&thinsp;В В.&thinsp;Юшманов Юшманов: ''Грамматика Литературного Арабского Языка'' (N.&thinsp;V V.&thinsp;Yushmanov Yushmanov: ''Grammatika Literaturnogo Arabskogo Yazyka''; Moskau: Verlag „Nauka“, 1985; S. 30
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://omniglot.com/writing/alphabetic.htm Omniglot: ''Abjads / Consonant alphabets'']
* [http://www.ancient-hebrew.org/6_04.html Actual photo of the specimen of Proto-sinaitic script]
[[BH]]
 
 
[[Jamii:Abjadi| ]]
[[Jamii:Mwandiko]]
[[Jamii:Namba]]
 
[[BH]]
 
[[af:Abjad]]
Line 53 ⟶ 51:
[[ca:Abjad]]
[[ceb:Abyad]]
[[ckb:ئەبجەد]]
[[cs:Souhláskové písmo]]
[[da:Abjad]]