Mkoa wa Bartın : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza tl:Bartın Province
d Picha:Bartın River.jpg
Mstari 8:
|jinalautrk = Bartın
|}}
[[Picha:Bartın NehriRiver.JPGjpg|255px|right|thumb|Picha hii inatuonyesha Mto Bartın na makazi madogo yaliyozunguka mto huo.]]
'''Bartın''' ni mji uliopo nchini [[Uturuki]]. Kihistoria pia unajulikana kama '''Parthenios'''. Bartın ni mji wa Mkoa wa [[Bahari Nyeusi]] ya [[Uturuki]]. Mji una wakazi wapatao 182,131 (kwa hesabu ya sensa ya mwaka wa 2008). Wilaya za mjini hapa ni pamoja na [[Amasra]], [[Ulus]], [[Kurucaşile]], na [[Bartın Merkez]] ambazo kila moja ni tofauti sana na nyingine.