Bloemfontein : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: zu:IBloemfontein
d images
Mstari 17:
 
}}
[[Picha:Bloemfontein panorama.jpg|thumb|260px|Bloemfontein wakati wa mchana]]
[[Picha:Bloemfontein bunge.jpg|thumb|right|260px|Bunge la Vrystaat (1893) pamoja na sanamu ya jenerali ya Makaburu [[Christiaan de Wet]]]]
 
'''Bloemfontein''' (tamka: "Blumfontain" - Kiholanzi/Kiafrikaans "chemchemi ya maua") ni kati ya [[mji mkuu|miji mikuu]] mitatu ya [[Afrika Kusini]] pamoja na [[Pretoria]] na [[Cape Town]]. Jina la Kisotho ni '''Mangaung''' linalomaanisha "kwa duma".