Papa Silverio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza mn:Сильвериус
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Silverius.jpg|thumb|right|250px|]]
'''Papa Silverio''' alikuwa [[papa]] kuanzia [[8 Juni]], [[536]] hadi mwezi wa Machi [[537]]. Alimfuata [[Papa Agapeto I]]. Aliondoshwa madarakani kwa nguvu ya [[Kaisari]] wa [[Bizanti]] aliyempendelea [[Papa Vigilio]]. Silverio alifungwa na kufariki tarehe [[20 Juni]], [[537]]. Angalao tangu karne ya 11 ameangaliwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni [[20 Juni]].
'''Papa Silverio''' alikuwa [[papa]] kuanzia [[8 Juni]] [[536]] hadi mwezi Machi [[537]]. Alimfuata [[Papa Agapeto I]] akafuatwa na [[Papa Vigilio]].
 
Alizaliwa na [[Papa Hormisdas]] katika [[ndoa]] yake kabla ya kupata [[upadrisho]].
 
Aliondoshwa madarakani kwa nguvu ya [[Kaisari]] wa [[Bizanti]] aliyempendelea Vigilio.
 
Silverio alifungwa na kufariki tarehe [[20 Juni]] [[537]].
 
Angalau tangu [[karne ya 11]] ameheshimiwa kama [[mtakatifu]]. [[Sikukuu]] yake ni tarehe [[20 Juni]].
 
==Marejeo==
*Louise Ropes Loomis, ''The Book of Popes'' ("Liber Pontificalis"). Merchantville, NJ: Evolution Publishing. ISBN 1-889758-86-8 (Reprint of the 1916 edition. English translation with scholarly footnotes, and illustrations).
 
== Viungo vya nje ==
Line 9 ⟶ 21:
[[Jamii:Papa]]
[[Jamii:Waliofariki 537]]
[[Jamii:Watakatifu Wakristowa Italia]]
 
[[af:Pous Silverius]]