Teknolojia ya habari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeondoa: sd:اطلاعات ٽيڪنيڀياس (deleted)
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza tt:Мәгълүмат технологияләре; cosmetic changes
Mstari 1:
[[FilePicha:2005ICT.PNG|thumb|270px|Taarifa ya matumizi ya teknolojia ya mawasiliano katika mwaka wa 2005]]
'''Teknolojia ya habari''' ([[Kiing.]]: ''information technology'', '''IT'''), kama ilivyoainiwa na Shirikisho la Teknolojia ya habari ya Marekani ([[ITAA]]), ni "[[utafiti]], urasimu, uendeleshaji, utekelezaji, usaidizi au usimamizi wa [[mifumo ya habari]] hasa ala za programu na vifaa vya kompyuta." <ref>[http://www.itaa.org/es/docs/Information%20Technology%20Definitions.pdf ITAA.org], p30, Iliangaliwa Machi 3, 2008</ref> IT inahusika na matumizi ya [[kompyuta]] zitumiazo umeme na [[programu za kompyuta kubadili]], [[kuhifadhi]], [[kulinda]], [[kuchecheta]], [[kueneza]], na [[usalama katika kupokea habari]].
 
Leo, neno ''habari'' limezunguka nyanja nyingi za kompyuta na teknolojia, na neno hili limekuwa maarufu sana. Wataalamu wa IT hutekeleza jukumu mbalimbali kutoka kuweka ala hadi kubuni [[mitandao tata ya kompyuta]] na [[hifadhidata]]. Machache kati ya wajibu ya wataalamu wa IT ni kufanya [[usimamizi wa data]], kujumuisha kompyuta ili kutengeneza mtandao, [[uhandisi wa hifadhidata]] na programu na vilevile usimamizi na utawala wa mfumo mzima.
 
Wakati kompyuta na teknolojia za mawasiliano zinapounganishwa, matokeo ni teknolojia ya habari, au "infotech". ''Teknolojia ya habari'' ni neno la jumla linaloelezea teknolojia yoyote ambayo husaidia katika kuzalisha, kuendesha, kuhifadhi, kuwasilisha, na / au kusambaza habari. Kwa makadirio, wakati tunapozungumza kuhusu teknolojia ya habari (IT) kama ujumla, ni bainisho kuwa matumizi ya kompyuta na habari yanashirikiana.
 
Katika siku za majuzi [[ABET na ACM]] wameshirikiana kuunda [http://www.abet.org/forms.shtml#For_Computing_Programs_Only kanuni za akredishon na mitaala] ya shahada katika teknolojia ya habari kama uwanja wa masomo uliotofautiana na [[Sayansi ya kompyuta]] na pia [[ mifumo ya habari]]. [http://www.sigite.org/index.php?option=com_frontpage&amp;Itemid=1 SIGITE] ni kikundi cha kazi cha ACM kilichopewa jukumu la kuweka kanuni hizi.
 
== Pia angalia ==
* [[Ala zinazowezeshwa na mawasiliano]] (CEA)
* [[teknolojia za Habari na mawasiliano]]
* [[Habari na mawasiliano kwa ajili ya maendeleo]]
* [[Habari na mawasiliano katika elimu]]
* [[Habari na mawasiliano katika uimarisho mazingira endelevu.]]
* [[Orodha ya teknolojia ya habari zinazojitokeza]]
* [[Umati wa Teknolojia ya habari]]
 
== Marejeo ==
{{marejeo}}
 
== Kwa masoma zaidi ==
*{{cite book|title=The Global Information Technology Report 2008–2009|publisher=World Economic Forum and INSEAD|date=2009|pages=406|isbn=978-92-95044-19-7|url=http://www.weforum.org/pdf/gitr/2009/gitr09fullreport.pdf}}
*Adelman, C. (2000). ''A Postsecondary Universe: The Certification System in Information Technology.'' Washington, DC: [[US Department of Education.]]
Mstari 26:
*Shelly, Gary, Cashman, Thomas, Vermaat, Misty, na Walker, Tim. (1999). ''Discovering Computers 2000: Concepts for a Connected World..'' Cambridge, Massachusetts: Course Technology.
*Webster, Frank, na Robins, Kevin. (1986). ''Information Technology-A Luddite Analysis.'' Norwood, NJ: Ablex.
 
 
[[Jamii:Teknolojia]]
[[Jamii:Habari]]
 
{{Link FA|ca}}
 
Mstari 106:
[[tn:Maranya a Kakanyo]]
[[tr:Bilişim teknolojisi]]
[[tt:Мәгълүмат технологияләре]]
[[uk:Інформаційні технології]]
[[uz:Axborot texnologiyalari]]