Ujerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imebadilisha: vep:Saksanma; cosmetic changes
Mstari 67:
 
== Jina la Nchi ==
Wenyeji wanaiita "Deutschland" ({{Audio-IPA|De-Deutschland.ogg|Deutschland}}, tamka: doich-land) na jina hili limeingia katika Kiswahili kama "'''Udachi'''". Lilikuwa jina la kawaida katika karne ya 19 na mwanzoni mwa karne ya 20. Siku hizi neno "Ujerumani" limechukua nafasi yake linalotokana na [[Kiingereza]] "Germany".
 
== Jiografia ==