George Saitoti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 8:
 
Tarehe 30 Agosti, 2002, Saitoti aliuzuliwa kama Makamu wa Rais na Rais [[Daniel Arap Moi]] kwa utovu wa utiifu; Saitoti aliuzuliwa pia kazi yake kama Makamu Mwenyekiti wa [[Kenya African National Union]] (KANU) <ref name="Race" />. Katika Uchaguzi Mkuu wa 2002, alishinda kiti cha [[Kajiado North]] kwa chama [[NARC]].
 
<h1>twaipa familia yake pole</h1>
 
==Kashfa ya Goldenberg na baadaye==