Mtayarishaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mtayarishaji
d Masahihisho aliyefanya 41.222.181.6 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Baba Tabita
Mstari 1:
'''Mtayarishaji''' ni mtu anayetengeneza kitu au kukiandaa, kuangalia mazingira gani yatafaa kutayarishia k.m. [[filamu]] n.k. Pia mtayarishaji huwa anapata msaada mkubwa kutoka kwa [[muongozaji]] ambaye yeye huwaweka wasanii sawa vipi [[filamu]] itatakiwa iwe n.k. Ila kwa mtazamo ambao watu wengi wamezoea kuuona na kusikia ni kwamba mtayarishaji huwa mtu anayetengeneza filamu au nyimbo.n.k
 
{{mbegu-filamu}}