Filamu za Hood : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Filamu za Hood''' (kutoka Kiing.: '''Hood film) ni aina ya filamu yenye asili ya Marekani hasa mwishoni mwa miaka ya 1980 na mwanzoni mwa miaka ya 1990. ...'
 
Kuongezea nyama: Hasa kwa ajili ya marehemu rafiki yangu Dulla Cheeks. A tribute to him!
Mstari 1:
'''Filamu za Hood''' (kutoka [[Kiing.]]: '''Hood film''') ni aina ya filamu yenye asili ya Marekani hasa mwishoni mwa miaka ya 1980 na mwanzoni mwa miaka ya 1990. Ndani yake uhusisha hasa mambo ya mjini kama vile muziki wa [[hip hop]], [[wahuni wa mtaani]], [[ubaguzi wa rangi]], umaskini, na matatizo ya Wamerekani hasa vijana jinsi wanavyopata shida na jamii ya [[Mzungu|Kizungu]]. Filamu za namna hii uhusisha hasa waigizaji wa [[WamerekaniWamarekani Weusi|Kiafrika-Kiamerika]].
 
Mfano halisi wa filamu za aina hii ni kama vile ''[[Boyz n the Hood]]'' na ''[[Menace II Society]]'', ambazo mtindo wake wa hadithi almanusura iupe umaarufu kupindukia mchezo huu. Mwanzoni mwa miaka ya 1996, lakini, filamu za hood zilionekana kama chombo cha watengenezaji filamu weusi kinachohaha kukwepa utofuati baiana ya ufananisho wa filamu za Kizungu.