Filamu za Hood : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Interwiki to English Wikipedia
Sawazisho dogo.
Mstari 1:
'''Filamu za Hood''' (kutoka [[Kiing.]]: '''Hood film''') ni aina ya filamu yenye asili ya [[Marekani]] hasa mwishoni mwa miaka ya 1980 na mwanzoni mwa miaka ya 1990. Ndani yake uhusisha hasa mambo ya mjini kama vile muziki wa [[hip hop]], [[wahuni wa mtaani]], [[ubaguzi wa rangi]], umaskini, na matatizo ya Wamerekani[[Wamarekani Weusi]] hasa vijana jinsi wanavyopata shida na jamii ya [[Mzungu|Kizungu]]. Filamu za namna hii uhusisha hasa waigizaji wa [[Wamarekani Weusi|Kiafrika-Kiamerika]].
 
Mfano halisi wa filamu za aina hii ni kama vile ''[[Boyz n the Hood]]'' na ''[[Menace II Society]]'', ambazo mtindo wake wa hadithi almanusura iupe umaarufu kupindukia mchezo huu. Mwanzoni mwa miaka ya 1996, lakini, filamu za hood zilionekana kama chombo cha watengenezaji filamu weusi kinachohaha kukwepa utofuati baiana ya ufananisho wa filamu za Kizungu.