Boyz n the Hood : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza ja:ボーイズ'ン・ザ・フッド
Kiungo kwenda "Filamu za Hood".
Mstari 20:
| mapato = $57,504,069<ref>{{cite web|url=http://www.boxofficemojo.com/movies/?id=boyznthehood.htm|title=Boyz n the Hood (1990)|publisher=''Box Office Mojo''}}</ref>
}}
'''''Boyz n the Hood''''' ni [[filamu za Hood|filamu ya hood]] ya mwaka wa [[1991]], ambayo imetungwa na kuongozwa na [[John Singleton]]. Kwenye filamu anacheza nyota [[Ice Cube]], [[Cuba Gooding, Jr.]], [[Morris Chestnut]], [[Nia Long]], [[Angela Bassett]], [[Regina King]], na [[Laurence Fishburne]]. Filamu inaenelezea maisha ya kimaskini ya South Central (sasa hivi [[South Los Angeles|South]]) [[Los Angeles, California]], na ilitengenezwa na kutolewa wakati wa majira ya joto ya mwaka wa 1991. Ilipata kushindanishwa kote kwenye "Mwongozaji Bora" na "Mchezo Bora" wakati wa ugawaji wa [[Tuzo za Academy]] mnamo mwaka wa 1991, na kumfanya Singleton mtu mdogo sana ambaye amepata kushindanishwa akiwa kama Mwongozaji na Mwafrika-Mwamerika wa kwanza kuchaguliwa kuwa kama Mwongozaji bora kwenye tuzo hizo.
 
Filamu ilipigiwa katika sehemu ya [[Un Certain Regard]] wakati wa Tamasha la Filamu la Cannes la 1991.<ref name="festival-cannes.com">{{cite web |url=http://www.festival-cannes.com/en/archives/ficheFilm/id/133/year/1991.html |title=Festival de Cannes: Boyz n the Hood |accessdate=2009-08-09|work=festival-cannes.com}}</ref>