Papa Pius XII : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Piusxiib.jpg|thumb|right|Papa Pius XII]]
 
'''Papa Pius XII''' ([[2 Machi]], [[1876]] – [[9 Oktoba]], [[1958]]) alikuwa [[Papa]] kuanzia [[2 Machi]], [[1939]] hadi [[kifo]] chake.

Alitoka nchi ya [[Italia]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Eugenio Maria Guiseppe Giovanni Pacelli''.

Alimfuata [[Papa Pius XI]] na kuvishwa taji [[12 Machi]], [[1939]]. Akafuatwa na [[Papa Paulo VI]].
{{DEFAULTSORT:Pius XII}}