Papa Innocent XI : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza sk:Inocent XI.
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:InnocentXI.jpg|thumb|right|Papa Innocent XI]]
 
'''Papa Innocent XI''' ([[16 Mei]], [[1611]] – [[12 Agosti]], [[1689]]) alikuwa [[papa]] kuanzia [[21 Septemba]], [[1676]] hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa '''Benedetto Odescalchi'''. Alimfuata [[Papa Klementi X]] akafuatwa na [[Papa Alexander VIII]].
 
 
== Viungo vya nje ==