Papa Gregori XIII : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza lv:Gregorijs XIII
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Gregory XIII.jpg|350px|thumb|Papa Gregorius XIII]]
 
'''Papa Gregori XIII''' (*[[7 Januari]], [[1502]] mjini [[Bologna]]/[[Italia]]; †[[10 Aprili]], [[1585]] mjini [[Roma]]) alikuwa papa wa [[kanisa katoliki]] kuanzia [[13 Mei]], [[1572]] hadi kifo chake. Alimfuata [[Papa Pius V]] akafuatwa na [[Papa Sixtus V]]
 
Anakumbukwa hasa kwa matengenezo ya kalenda iliyojulikana kama "[[kalenda ya Gregori]]" ikawa kalenda ya kimataifa kote duniani.
 
Alizaliwa kwa jina la '''Ugo Buoncampagni''' akafuata masomo ya sheria na kuwa profesa wa sheria kwenye chuo kikuu cha Bologna.
 
Mwaka 1539 aliitwa na [[Papa Paulo III]] akapewa kazi mbalimbali kama mwanasheria wa kanisa. Baadaye [[Papa Paulo IV]] alimpa cheo cha [[askofu]] wa Viesti (Italia) na ni sasa tu ya kwamba Ugo alikula kiapo cha upadre na kuwekwa wakfu kama askofu moja kwa moja.