Ponsyo Pilato : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imebadilisha: be-x-old:Понтыюс Пілят
nyongeza kadhaa
Mstari 1:
[[File:Eccehomo1.jpg|thumb|right|300px|''[[Ecce Homo]]'', mchoro wa [[Antonio Ciseri]] unaoonyesha Ponsyo Pilato alivyomtambulisha Yesu kwa watu wa [[Yerusalemu]] baada ya kumpiga mijeledi]]
'''Ponsyo Pilato''' (kwa [[Kilatini]] ''Pontius Pilatus''; kwa [[Kigiriki]] Πόντιος Πιλᾶτος; kwa [[Kiebrania]] פונטיוס פילאטוס; alikuwa [[liwali]] wa [[Dola la Roma|kiroma]] katika [[Palestina]] kwenye miaka [[26]]-[[36]].
[[Palestina]] katika miaka [[26]]-[[36]].
 
Anajulikana kutoka vyanzo mbalimbali, lakini hasa kwa sababu ya [[Injili]] kumtaja kama [[hakimu]] aliyempeleka [[Yesu]] kuuawa msalabani. Vyanzo vingine ni katika maandiko ya [[Flavius Josephus]], [[Tacitus]] na [[Philo wa Aleksandria]].
 
Waandishi Wayahudi Josephus na Philo wanamwonyesha kama mtawala mkali asiyeheshimu utamaduni na imani ya wenyeji wa Palestina. Baada ya kutumia unyama katika ukandamizaji wa [[Wasamaria]] aliitwa kurudi Roma na kufika mbele ya Kaisari. Hakuna habari za uhakika kuhusu maisha yake ya baadaye.
 
[[Kanisa la Ethiopia]] linafuata hadithi ya kwamba aliongoka, hivyo linamheshimu kama [[mtakatifu]].