Kiesperanto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 16:
[[Irabu]] zote (a, e, i, o, u) zinatamka kama kwa [[Kiswahili]].
 
Kwa upande wa [[konsonanti]], b, d, f, g, h, k, l, m, n, p, r, s, t, v na z zinatamka kama kwa [[Kiswahili]]. c inatamka kama ''ts''. ĉ inatamka kama ''ch''. Matamshi ya ĝ yanafanana na matamshi ya ''j'' kwa Kiswahili (ni sawasawa na matamshi ya ''j'' katika neno la Kiswahili ''"njia''"); j ya Kiesperanto inatamka kama ''y'' ya Kiswahili. ĵ inatamka kama ''j'' ya Kifaransa (inafanana na ''sh'' ya Kiswahili, lakini inatamka na sauti, kama ''z''). ŝ inatamka kama ''sh''. ŭ inatamka kama ''w''; ŭ inatumika baada ya ''a'' na ''e'' tu, ingawa Zamenhof wenyewe na Waespeanto wengine waiunganisha na irabu yoyote, k.m. ''"sŭahila''" (Kiswahili), ''"ŭato''" (wati), tena jina la herufi yenyewe ni "ŭo"; tofauti kati ya ''au'' na ''aŭ'' ni kwamba ''au'' inatamka kwa silabi mbili na ''aŭ'' kwa silabi moja.
 
=== Serufi ===