Mkoa wa Dar es Salaam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
== Dar es Salaam ==
'''Dar es Salaam''' ni kati ya mikoa 26 ya [[Tanzania]]. Eneo la mkoa ni [[Jiji]] la [[Dar es Salaam]]. Imepakana na [[Mkoa wa Pwani]] pande zote barani na [[Bahari Hindi]] upande wa mashariki.
 
Kuna wilaya tatu za Kinondoni (wakazi 1,088,867), Ilala (wakazi 637,573) na Temeke (wakazi 771,500) ambazo kila moja inainaangaliwa hali yakama mji. Namba hizi ni za 2002, kwa ujumla idadi ya wakazi hukadiriwa kuwa imefika mnamo milioni 3.
 
Eneo la mkoa ni 1,800 km² pamoja na visiwa vidogo 8 na eneo la bahari kati ya pwani na visiwa hivi. Eneo la nchi kavu pekee ni 1,393 km².