Paa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza lmo:Tecc
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza lv:Jumts; cosmetic changes
Mstari 1:
[[pichaPicha:Ashdod 2005, rooftop view p2.JPG|thumb|250px|Paa za mji wa [[Ashdod]] katika Israeli penye mvua kidogo]]
[[ImagePicha:Zakopane-schronisko-2.jpg|thumb|Paa ya vigae vya ubao nchini [[Poland]]]]
'''Paa''' ni eneo la juu la [[nyumba]] ambalo linatumika kuziba eneo la ndani lisionekane kutoka juu na pia kuzuia jua na [[mvua]], [[theluji]] na [[jua]] visiingie ndani.
 
Kuna aina nyingi za paa na hizi zinategemea mazingira ya nyumba hasa [[hali ya hewa]] na pia teknolojia inayopatikana.
 
== Paa kufuatana na mazingira ==
Katika mazingira penye mvua nyingi kidesturi paa inahitaji mtelemko ili maji yasikae na kuingia ndani. Kama mazingira yana upepo mkali si vizuri kuwa na mtelemko mno maana watu waliweka mawe juu ya paa kwa kusudi la kuimarisha paa dhidi ya upepo mkubwa.
 
Lakini katika mazingira kavu pasipo na mvua nyingi watu hupendelea paa ambayo ni tambarare. Paa tambarare inaruhusu kuitumia kama eneo la nje. Hasa katika nchi za joto watu hupenda kulala juu ya paa wakati wa usiku kama joto ni kubwa mno ndani ya nyumba. Ni pia mahali ambako vyakula kama matunda vinaweza kukaushwa katika jua ilhali yako mbali na wanyama au wezi wanaotembea chini. Hata hivyo kwa kawaida taa tambarare huwa na mtelemko kidogo ili maji ya mvua kama inatokea inatelemka kirahisi zaidi.
 
Teknolojia ya kisasa inaruhusu kuwa na taa tambarare hata katika mazingira penye mvua nyingi. Hapa paa hujengwa kwa [[saruji]] iliyoimarishwa kwa [[feleji]] pamoja na kemikali zinazozuia maji na kuziba paa kabisa. Faida yake ni ya kwamba ghorofa ya juu moja kwa moja chini ya paa ya nje ina nafasi kubwa inaweza kutumiwa.
 
== Sehemu za paa ==
Paa huwa na sehemu mbili ambazo ni maunzi yake ya ndani halafu ganda la nje.
 
Mstari 35:
</gallery></center>
 
[[CategoryJamii:Ujenzi]]
 
[[Category:Ujenzi]]
 
[[an:Tellato]]
Line 67 ⟶ 66:
[[lmo:Tecc]]
[[lt:Stogas]]
[[lv:Jumts]]
[[ne:छाना]]
[[nl:Dak]]