Ndegeputo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Nyongeza: my:လေသင်္ဘော
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza war:Airship; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Spirit of Europe2.jpg|thumb|350px|Blimp ya kampuni ABC yatangaza matairi ya Goodyear]]
[[ImagePicha:Airship-skyship600.jpg|thumb|350px|Blimp ya "Spirit of Dubai" yatangaza mradi wa Dubai "Palm Jumeirah"]]
[[ImagePicha:Zeppelin diagram.png|thumb|350px|Muundo wa Zeppelin yenye fremu imara]]
[[ImagePicha:Zeppelin NT Frankfurt.jpg|thumb|350px|Zeppelin NT ya kisasa juu ya mji wa Frankfurt]]
'''Ndegeputo''' (au '''purutangi''') ni [[chomboanga]] kinachoelea kwa nguvu elezi ya [[gesi]] iliyoko ndani ya ganda lake. Chini ya chumba cha gesi inabeba behewa ya abiria na mizigo. Inasukumwa na injini za parapela.
 
Kimsingi kuna aina mbili za ndegeputo:
 
== Ndegeputo isiyo na fremu ("Blimp") ==
Kimsingi aina hii ni fuko kubwa lenye gesi nyepesi ([[heli]]) ndani yake linalobeba behewa chini yake. Injini zafungwa kwenye behewa. Faida yao ni ya kwamba ni rahisi kuzisafirisha kwenye nchi kavu baada ya kuondoa gesi ndani yake. Fuko hukunjwa na haichukui nafasi kubwa. Bei si kubwa sana. Hasara ni ya kwamba haiwezekani kuongeza kukubwa juu ya kiwango fulani. Blimpu kubwa zinazopatikana hubeba hadi watu 10 au mzigo unaolingana.
 
Zapendwa sana kwa shughuli za matangazo ya kibiashara pia kwa safari za kitalii.
 
== Ndegeputo yenye fremu ya ndani ==
Kwa vyomboanga vikubwa zaidi ndegeputo zilipewa fremu ya ndani. Fremi hii yawezesha kufungwa kwa injini sehemu mbalimbali za chombo kinachoboresha uwezo wake wa kulengwa.
 
Mstari 24:
 
== Ndegeputo na [[ndege (uanahewa)|ndege]] ==
Huduma za kwanza za usafiri wa angani zilitekelezwa na ndegeputo. Tangu [[vita kuu ya kwanza ya dunia]] ndege ziliendelea zikaonekana ya kwamba zilikuwa usafiri wa haraka zaidi lakini hazikufika mbali bado. Ndege zilihitaji kushuka na kuongeza petroli kila baada ya masaa kadhaa lakini ndegeputo kubwa ziliweza kukaa hewani kwa siku mfululizo. Kabla ya [[vita kuu ya pili ya dunia]] ndegeputo za Zeppelin zilikuwa vyomboanga vya pekee vilivyosafirisha abiria mara kwa kati ya [[Ulaya]] na nchi za [[Amerika]].
 
Maendeleo ya ndege wakati wa vita kuu ya pili ya dunia na baadaye imeondoa ndegeputo katika usafiri wa kawaida. Ndege hubeba abiria na mizigo haraka zaidi, hubeba mizigo mikubwa zaidi tena katika kila hali ya hewa wakati ndegeputo zina matatizo kama upepo ni mkali mno au halijoto yapanda mno inayosababisha gesi ndani ya ganda kuenea sana.
 
== Matumizi ya ndegeputo leo ==
Siku hizi ndegeputo zatumiwa hasa kwa shughuli tatu:
* fuko la gesi latumiwa kwa '''matangazo ya kibiashara'''. Ni hasa blimp ndogo zinazokodishwa kuonyesha matangazo haya juu ya miji mikubwa au penye mikutano ya watu wengi.
* kwa '''safari za kitalii''' kwa muda mfupi ndegeputo ina faida ya kutembea polepole kwenye kimo kidogo hali inayowezesha abiria kutazama vizuro yote yaliyopo chini yao.
* kwa '''utafiti wa kisayansi''' na '''shughuli za usimamizi'''; uwezo wa kulea polepole kwa kimo kidogo tena kwa muda mrefu wawezesha vipimo vya kisayansi kufanyiwa kwa makini kushinda vipimo kwa njia za ndege.
** Faida hii yatumiwa pia kibiashara. Zeppelin NT mpya imekodiwa na kampuni [[De Beer]] ya [[Afrika Kusini]] tangu [[2005]] kwa vipimo vya kutafuta [[almasi]] katika [[Botswana]] na inasemekana kwa matokeo bora kushinda vipimo vya awali kwa ndege au helikopta.
** Ndegeputo zatumiwa kwa usimamizi wa mikutano mikubwa kwa mfano [[michezo ya Olimpiki]] ya [[Athens]] ya [[2004]] au mkutano wa vijana wa dunia wa kanisa katoliki huko [[Köln]] mwaka [[2006]].
 
[[categoryJamii:Chomboanga]]
 
[[af:Lugskip]]
Mstari 89:
[[uk:Дирижабль]]
[[ur:ہواکشتی]]
[[war:Airship]]
[[zh:飞艇 (轻航空器)]]