Werner von Siemens : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: eo:Werner von Siemens
d r2.7.3) (Roboti: Imebadilisha: pt:Werner von Siemens; cosmetic changes
Mstari 9:
Kati ya uvumbuzi zake za kwanza ilikuwa modeli mpya ya [[telegrafi]] iliyokuwa bora kuliko zile zilizotangulia. Kwa teknolojia hii alifaulu kupata mikataba mbalimbali ya kujenga simu za telegrafi katika nchi nyingi kama Ujerumani na Urusi. Kazi kubwa ya telegrafi ilikuwa simu kutola London hadi [[Kalkota]] ([[Uhindi]]) yenye urefu wa kilomita 11,000..
 
Aliendelea kubuni au kuboresha vifaa vingi akajenga injinireli ya umeme ya kwanza, mfumo wa kwanza wa taa za umeme wa kuangaza barabara (mjini Berlin), [[eleveta]] ya umeme ya kwanza na [[tramu]] ya kwanza ya umeme.
 
Kutokana na mafanikio yake alipewa cheo cha dokta wa heshima na 1888 [[Kaisari]] [[Wilhelm I wa Ujerumani]] alimpandisha katika cheo cha mkabaila tangu mwaka ule jina lake likawa "von" Siemens.
 
[[CategoryJamii:Wanasayansi wa Ujerumani]]
 
[[CategoryJamii:Wavumbuzi]]
[[Category:Wanasayansi wa Ujerumani]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1810]]
[[Category:Wavumbuzi]]
[[CategoryJamii:waliozaliwaWaliofariki 18101890]]
[[Category:Waliofariki 1890]]
 
[[af:Werner von Siemens]]
Line 47 ⟶ 46:
[[no:Werner von Siemens]]
[[pl:Werner von Siemens]]
[[pt:Ernst Werner von Siemens]]
[[ro:Werner von Siemens]]
[[ru:Сименс, Вернер фон]]