Bernardino wa Siena : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza cs:Svatý Bernardin Sienský; cosmetic changes
Mstari 7:
Alizaliwa na kubatizwa [[Massa Marittima]] ([[Siena]]) tarehe 8 Septemba 1380 katika familia [[Albizzeschi]] kutoka Siena, ambako alihamia baada ya kubaki [[yatima]], ili alelewe na ndugu zake na kusomeshwa.
 
== Wito na utume ==
 
Akiwa na miaka 22, alijiunga na [[utawa]], katika tawi la [[urekebisho]] wa [[Waobservanti]], ambalo akawa nguzo yake kuu, pamoja na [[Yohane wa Kapestrano]], [[Yakobo wa Marka]] na [[Alberto wa Sarteano]].
Mstari 13:
Kisha akaanza [[utume]] mkubwa akihubiri kwa mafanikio katika [[Italia Kaskazini]]. Kazi yake yaliamsha katika [[Kanisa]] [[imani]] na [[ibada]] kwa [[Jina la Yesu]] na kurekebisha [[maadili]] ya wengi. Ndiye aliyesambaza kila mahali vibao vyenye kifupisho [[IHS|JHS]] (''Jesus Hominum Salvator'') kikiwa na [[msalaba]] juu yake na kuzungukwa na [[jua]] lenye miali 12.
 
== Kifo ==
 
Alifariki huko [[L'Aquila]], tarehe 20 Mei 1444.
Mstari 21:
Kutokana na sifa yake kubwa, alitangazwa [[mtakatifu]] na [[Papa Nikolasi V]] mwaka [[1450]]. Kumbukumbu yake inaadhimishwa kila tarehe [[20 Mei]].
 
== Marejeo ==
* {{1911|article=St. Bernardin Of Siena|url=http://www.1911encyclopedia.org/St._Bernardin_Of_Siena}}
* {{Catholic|wstitle=St. Bernardine of Siena}}
 
== Viungo vya nje ==
*[http://www.aug.edu/augusta/iconography/bernardino.html St. Bernardino page] at ''Christian Iconography''
 
Mstari 37:
 
[[ca:Bernadí de Siena]]
[[cs:Svatý Bernardin Sienský]]
[[de:Bernhardin von Siena]]
[[en:Bernardino of Siena]]