Papa Benedikto II : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:BenedictII.jpg|thumb|right|200px|]]
'''Papa Benedikto II''' alikuwa [[papa]] kuanzia [[26 Juni]] [[684]] hadi kifo chake tarehe [[8 Mei]] [[685]]. Jina la baba yake lilikuwa Yohane. Alimfuata [[Papa Leo II]].
 
Alimfuata [[Papa Leo II]] akafuatwa na [[Papa Yohane V]].
 
Anaheshimiwa kama [[mtakatifu]]. [[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.
 
== Viungo vya nje ==
{{commons}}
*[http://www.newadvent.org/cathen/02427d.htm Kuhusu Papa Benedikto II katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki]
 
{{mbegu-Papa}}