Alan Turing : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imebadilisha: or:ଆଲାନ ଟ୍ୟୁରିଙ୍ଗ
No edit summary
Mstari 15:
}}
 
'''Alan Mathison Turing''' ([[23 Juni]] [[1912]] - [[7 Juni]] [[1954]]) alikuwa mtaalamu yawa [[hisabati]] na [[kompyuta]] nchini [[Uingereza]].
 
Alikuwa kati ya watu wa kwanza walioshughulika na kompyuta tarakimu. Alielewa ya kwamba kompyuta inaweza kutumiwa hata kwa shughuli nje ya hisabati kama lugha ya programu yake inatafsiri shughuli hizi katika namba 0 na 1.
 
Alibuni programu ya mashine ya Turing ambayo ni mfano kwa kompyuta za baadaye.
 
Wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] Turing aliongozaaliongeza jitihada za kuvunja siri ya mawasiliano ya jeshi la Ujerumani. Wajerumani walitumia mashine iliyoitwa enigma na mashine hii ilibadilisha kila ujumbe uliowasilishwa kwa redio kuwa mfululizo wa namba. Kundi la Turing liliofaulu kutambua mbinu wake na baadaye Waingereza walielewa ujumbe kutoka [[nyambizi]] za Kijerumani.
 
Mwaka 1952 kazi ya Tring ilivunjwa aliposhtakiwa kuwa [[basha]]; alipelekwa mahakamani akahukumiwa aingie ama jela au akubali kutumia madawa makali. Baada ya miaka 2 alijiua.