Ulaya ya Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza la:Europa Orientalis
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza xmf:ბჟაეიოლ ევროპა; cosmetic changes
Mstari 1:
'''Ulaya ya Mashariki''' ni sehemu ya mashariki ya bara la [[Ulaya]] lakini hakuna uelewano juu ya mipaka yake hasa upande wa magharibi.
 
== Ulaya ya Mashariki kufuatana na Umoja wa Mataifa ==
Umoja wa Mataifa hujumuisha nchi zifuatazo humo:
 
Mstari 17:
Orodha hii imejumlisha nchi zote za Ulaya zilizokuwa sehemu za [[Umoja wa Kisovyeti]] au zilizoshikamana nao kisiasa hadi 1989 (isipokuwa Ujerumani ya Mashariki). Tatizo lake ni ya kwamba watu wa Poland, Hungaria Uceki na Slovakia zinajihesabu kuwa sehemu za [[Ulaya ya Kati]].
 
== Ulaya ya Mashariki kijiografia ==
Kijiografia mara zinatajwa humo nyingi nchi za [[Ukraine]], [[Belarus]], [[Moldova]] na upande wa Ulaya wa [[Urusi]]. Isipokuwa sehemu za kaskazini za Urusi huhesabiwa mara nyingi upande wa [[Ulaya ya Kaskazini]].
 
== Ulaya ya Mashariki kiutamaduni ==
Mara nyingi nchi zinazokaliwa na watu wenye [[lugha za Kislavoni]] huhesabiwa humo. Lakini kwa njia hii Romania na Hungaria si nchi za Ulaya ya Mashariki lakini Uceki, Slovenia na Kroatia zimo. Kihistoria hata sehemu za Ujerumani zilikaliwa na Waslavoni na Wasorbi katika mashariki bado hutumia lugha yao.
 
Mstari 111:
[[wo:Penku Tugal]]
[[wuu:东欧]]
[[xmf:ბჟაეიოლ ევროპა]]
[[yi:מזרח אייראפע]]
[[yo:Apáìlàoòrùn Europe]]