Mama Teresa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza as, jv, ky Imebadilisha zh
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:MotherTeresa 090.jpg|thumb|250px]|Mama Teresa mnamo 1990]]
 
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Image:DPAG 2010 38 Mutter Teresa.jpg|thumb|right|[[Stempu]] iliyotelewa [[Ujerumani]] kwa [[ukumbusho]] wa miaka 100 tangu kuzaliwa kwake ([[2010]]); chini ya picha yake yamo maneno yake: ''«[[Ufukara]] haukuumbwa na [[Mungu]]. Sisi ndio tuliousababisha, wewe na mimi kwa njia ya [[umimi]] wetu.»'']]
'''Mama Teresa wa Kolkata''' ([[26 Agosti]] [[1910]] – [[5 Septemba]] [[1997]]) alikuwa [[mtawa]] wa [[Kanisa Katoliki]] aliyejulikana kimataifa hasa kutokana na [[huduma]] yake kwa watu [[maskini]] katika mji wa [[Kolkata]] ([[Uhindi]]) iliyompatiailiyofanya apatiwe [[tuzo ya Nobel ya Amani]].
 
Tarehe [[19 Oktoba]] [[2003]] alitangazwa na [[Papa Yohane Paulo II]] kuwa [[mwenye heri]]. Bado muujiza wa pili unahitajika ili atangaze kuwa [[mtakatifu]].
Alizaliwa tarehe 26 Agosti 1910 mjini [[Skopje]] katika familia ya Waalbania akaitwa '''Agnes Gonxha Bojaxhiu'''.
 
==Maisha==
Alipofikia umri wa miaka 18 alijiunga na shirika la [[Masista wa Loreto]] huko [[Ireland]] na mwaka 1929 alitumwa Uhindi afundishe kwenye shule ya masista mjini Kolkota alipoendelea kuwa mkuu wa shule.
Alizaliwa tarehe 26 Agosti 1910 mjini [[Skopje]] katika familia ya [[Waalbania]] akaitwa '''Agnes Gonxha Bojaxhiu'''.
 
Alipofikia umri wa miaka 18 alijiunga na shirika la [[Masista wa Loreto]] huko [[Ireland]] na mwaka [[1929]] alitumwa Uhindi afundishe kwenye [[shule]] ya masista mjini KolkotaKolkata alipoendelea kuwa [[mkuu wa shule]].
Aliguswa sana na hali ya umaskini nje ya shule akajisikia wito wa kuwasaidia na kuishi pamoja nao.
 
Aliguswa sana na hali ya umaskinima[[fukara]] nje ya shule akajisikia [[wito]] wa kuwasaidia na kuishi pamoja nao.
Kwa kibali cha wakubwa wa shirika lake na wa Kanisa mwaka 1948 alitoka jumuiya ya Loreto akaanzisha maisha duni kati ya wakazi wa [[mitaa ya vibanda]].
 
AlianzishaKwa shulekibali lakinicha baadawakuu yawa mudashirika alitambualake umuhimuna wa kuzingatia[[Kanisa]] zaidimwaka hali[[1948]] alitoka jumuiya ya watuLoreto waliokuwaakaanzisha wagonjwamaisha naduni kufakati katikaya wakazi wa [[mitaa ya vibanda]].
 
Alianzisha shule lakini baada ya muda alitambua umuhimu wa kuzingatia zaidi hali ya watu waliokuwa [[wagonjwa]] na hatimaye kufa katika mitaa hiyo.
Mwaka 1950 alianzisha shirika la Masista [[Wamisionari wa Upendo]] ambalo mwanzoni lilikuwa jumuiya ndogo ya masista 12 tu. Kati ya kazi zao za kwanza ilikuwa nyumba kwa watu mahututi; masista waliwakusanya barabarani na kuwapeleka katika nyumba walipopata dawa, chakula na usaidizi.
 
Mwaka [[1950]] alianzisha shirika la Masista [[Wamisionari wa Upendo]] ambalo mwanzoni lilikuwa jumuiya ndogo ya masista 12 tu.
 
Mwaka 1950 alianzisha shirika la Masista [[Wamisionari wa Upendo]] ambalo mwanzoni lilikuwa jumuiya ndogo ya masista 12 tu. Kati ya kazi zao za kwanza ilikuwa nyumba kwa watu [[mahututi]]; masista waliwakusanya barabaraniwakiwa wamelala [[barabara]]ni na kuwapeleka katika nyumba hiyo walipopata [[dawa]], [[chakula]] na usaidizi mwingine.
 
Shirika lilikua haraka sana; hadi leo kuna masista 4,000 kwa jumla katika matawi mengi kote duniani.
 
Wanaendesha nyumba kwa [[watoto]] [[yatima]], wagonjwa wa [[UKIMWI]], wenye [[ukoma]], [[walemavu]], [[walevi]], wenye [[kichaa]] na kila aina ya matatizo maishani.
 
Mwaka [[1979]] alipewa [[Tuzo ya Nobel ya Amani]].
 
Mama Teresa aliaga dunia mwakatarehe 19975 akatangazwaSeptemba na [[Papa Yohane Paulo II]] kuwa [[mwenye heri]]. Bado muujiza wa1997 piliakafanyiwa unahitajikamazishi iliya atakatifishwekitaifa.
 
==Marejeo==
Baada ya kifo chake maandishi yake yaliyotolewa yakafichua siri ya maisha yake ya ndani, yaani kupitia kwa karibu miaka 50 mfululizo katika hali ngumu inayoitwa [[usiku wa roho]] bila ya hiyo kuweza kumzuia atabasamu muda wote.
* Chawla, Navin. ''Mother Teresa''. Rockport, Mass: Element Books, 1996. ISBN 1-85230-911-3
* Chawla, Navin. ''Mother Teresa: The Authorized Biography'', Diane Pub Co. (March 1992), ISBN 978-0-7567-5548-5. First published by Sinclair-Stevenson, U.K. (1992), since translated into 14 languages in India and abroad. [[Languages of India|Indian language]] editions include [[Hindi]], [[Bengali language|Bengali]], [[Gujarati language|Gujarati]], [[Malayalam language|Malayalam]], [[Tamil language|Tamil]], [[Telugu language|Telugu]], and [[Kannada language|Kannada]]. The foreign language editions include [[French language|French]], [[German language|German]], [[Dutch language|Dutch]], [[Spanish language|Spanish]], [[Italian language|Italian]], [[Polish language|Polish]], [[Japanese language|Japanese]], and [[Thai language|Thai]]. In both Indian and foreign languages, there have been multiple editions. The bulk of royalty income goes to charity.
* Chawla, Navin. ''The miracle of faith'', article in the Hindu dated 25 August 2007 [http://www.hindu.com/2007/08/25/stories/2007082554761400.htm " The miracle of faith''"]
* Chawla, Navin. ''Memories of Mother Teresa'', article in the Hindu dated 26 August 2006 [http://www.hinduonnet.com/2006/08/26/stories/2006082604071000.htm " Memories of Mother Teresa''"]
* Chawla, Navin. Touch the Poor... – article in India Today dated 15 September 1997 [http://india-today.com/itoday/15091997/navin.html " Touch the Poor...''"]
* Chawla, Navin. ''The path to Sainthood'', article in The Hindu dated Saturday, 4 October 2003 [http://www.hinduonnet.com/2003/10/04/stories/2003100401101000.htm " The path to Sainthood ''"]
* Chawla, Navin. ''In the shadow of a saint'', article in ''The Indian Express'' dated September, 05, 2007 [http://www.hinduonnet.com/2003/10/04/stories/2003100401101000.htm " In the shadow of a saint ''"]
* Chawla, Navin. ''Mother Teresa and the joy of giving'', article in ''The Hindu'' dated 26 August 2008 [http://www.hindu.com/2008/08/26/stories/2008082655280900.htm " Mother Teresa and the joy of giving''"]
* Le Joly, Edward. ''Mother Teresa of Calcutta''. San Francisco: Harper & Row, 1983. ISBN 0-06-065217-9.
* [[Malcolm Muggeridge|Muggeridge, Malcolm]]. ''Something Beautiful for God.'' ISBN 0-06-066043-0.
* Muntaykkal, T.T. ''Blessed Mother Teresa: Her Journey to Your Heart''. ISBN 1-903650-61-5. ISBN 0-7648-1110-X. {{cite web |url=http://www.fish.co.uk/culture/books/1203/051203_mother_theresa.htm |title= Book Review |archiveurl=http://web.archive.org/web/20060209154430/http://www.fish.co.uk/culture/books/1203/051203_mother_theresa.htm |archivedate=2006-02-09}}.
* Scott, David. ''A Revolution of Love: The Meaning of Mother Teresa''. Chicago: Loyola Press, 2005. ISBN 0-8294-2031-2.
*Spink, Kathryn. ''Mother Teresa: A Complete Authorized Biography''. New York: HarperCollins, 1997. ISBN 0-06-250825-3
* Teresa, Mother et al., ''Mother Teresa: In My Own Words''. Gramercy Books, 1997. ISBN 0-517-20169-0.
* Teresa, Mother & Kolodiejchuk, Brian, ''Mother Teresa: Come Be My Light'', New York: Doubleday, 2007. ISBN 0-385-52037-9.
* [[Eileen Egan]] and Kathleen Egan, OSB. ''Prayertimes with Mother Teresa: A New Adventure in Prayer'', [[Doubleday (publisher)|Doubleday]], 1989. ISBN 978-0-385-26231-6.
* [[Brian Kolodiejchuk]] (ed.). ''Mother Teresa: Come be My Light'', [[Doubleday (publisher)|Doubleday]], 2007, ISBN 978-0-385-52037-9.
 
 
==Maandishi yake==
Baada ya kifo chake maandishi yake yaliyotolewa hadharani yakafichua [[siri]] ya maisha yake ya ndani, yaani kupitiakwamba alipitia kwa karibu miaka 50 mfululizo katika hali ngumu inayoitwa [[usiku wa roho]], bila ya hiyo kuweza kumzuia atabasamu muda wote.
== Viungo vya Nje ==
{{Commons}}
* [http://www.calcuta.org Kolkata Mother Teresa Information]
* [http://www.mcpriests.com/11_family.htm Tovuti ya jumuiya za Mama Teresa]
* [http://www.motherteresa.org/ Mother Teresa of Calcutta Center, India – Official Site]
* [http://www.mcbrothers.org/ Missionaries of Charity Brothers (Active Branch)]
* [http://thereseoflisieux.org/ Mother Teresa and her patron saint, St. Therese of Lisieux]
* [http://www.ewtn.com/motherteresa/ Mother Teresa Memorial Page]
* [http://motherteresa.ru/gallery Mother Teresa Gallery]
*[http://www.motherteresawomenuniv.ac.in/ Mother Teresa Women`s University, Kodaikanal, Tamil Nadu, India – Official site]
* [http://nobelprize.org/nobel_prizes/peace/laureates/1979/teresa-bio.html Nobel Laureate Biography (Nobel Foundation)]
* [http://tralvex.com/pub/spiritual/MT-quotes.htm Complete Mother Teresa Quotations]
* [http://www.time.com/time/time100/heroes/profile/teresa01.html The TIME 100: The Most Important People of the Century – Mother Teresa]
* {{NYTtopic|people/t/teresa_mother}}
* [http://mcpriests.com/02_bio.htm Missionaries of Charity Fathers (MC Fathers / MC Priests) – Official Website: Biography of Mother Teresa]
* [http://www.time.com/time/world/article/0,8599,1655415,00.html Mother Teresa's Crisis of Faith (TIME.com)]
* [http://www.priestsforlife.org/brochures/mtspeech.html Speech at National Prayer Breakfast, Washington, D.C. 3 February 1994]
* [http://www.peggynoonan.com/article.php?article=295 Peggy Noonan, "Still, Small Voice," ''Crisis'', 1 February 1998] (account of the National Prayer Breakfast speech)
* {{IMDb name|0609336|name=Mother Teresa}}
* [http://www.cmswr.org/member_communities/MC.htm Missionaries of Charity Active and Contemplative Sisters with U.S. contact information (CMSWR member page)]
* [http://www.cnn.com/WORLD/9709/06/teresa.mourning/index.html?iref=newssearch India to give Mother Teresa state funeral], ''[[CNN]]''
* [http://www.britannica.com/EBchecked/topic/587877/Blessed-Mother-Teresa Mother Teresa], Encyclopædia Britannica
* [http://www.commondreams.org/archive/2007/10/22/4727/ "Mother Teresa, John Paul II, and the Fast-Track Saints"] by [[Michael Parenti]], CommonDreams.org, 22 October 2007
* [http://www.kamat.com/database/biographies/mother_teresa.htm Biography: Mother Teresa]
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1910]]