Istanbul : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeondoa: uz:Istanbul (deleted)
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza pa:ਇਸਤਾਂਬੁਲ; cosmetic changes
Mstari 1:
 
[[Picha:Istambul and Bosporus big.jpg|thumb|300px|Istanbul kwa macho ya ndege; juu iko Bahari Nyeusi, chini Bahai ya Marmara; sehemu ya Asia upande wa kulia, Ulaya upande wa kushoto wa Bospurus; "Pembe la dhahabu" ni mkono wa bahari unaoonekana chini upande wa Ulaya]]
'''Istanbul''' (kwa [[Kituruki]] unatajwa '''İstanbul''') ni mji mkubwa zaidi katika nchi ya [[Uturuki]], ukiwa na wakazi wanaokadiriwa kuwa kati ya milioni 11 na milioni 15, ambao wanaufanya kuwa miongoni mwa miji mikubwa ya dunia. Huu ndiyo mji mkuu wa [[Mkoa wa İstanbul]].
Line 7 ⟶ 6:
Kiini cha kihistoria kipo upande wa Ulaya kwenye sehemu yenye umbo la rasi baina [[Bahari ya Marmara]] na [[Pembe la Dhahabu]] ambayo ni mkono wa bahari unaoingia ndani ya nchi na hivyo mahali pa mji ulikingwa kwa bahari pande tatu.
 
== Historia ==
Mji huu umebadilisha jina lake mara kadhaa katika historia yake ya zaidi ya miaka 2600. Awali jiji hilo liliundwa mnamo mwaka 660 KK na Wagiriki kwa jina la '''[[Bizanti]]'''. Mnamo mwaka 330 BK [[Kaisari]] [[Konstantino]] aliufanya kuwa mji mkuu wa Dola la Roma akaupanua ukajulikana kama '''[[Konstantinopoli]]''' (yaani mji wa Konstantino).
 
Konstantinopoli uliendelea kama mji mkuu wa [[Dola la Roma]] na baadaye Roma ya Mashariki uliojulikana pia kama [[Milki ya Bizanti]] hadi 1453 ambako mji ulitwaliwa na Waturuki. Tangu mwaka ule uliendelea kama mji mkuu wa [[Milki ya Osmani]] hadi mwaka [[1923]]. Baadaye serikali ya Uturuki ilihamia [[Ankara]].
Line 20 ⟶ 19:
Hadi vita ya kwanza ya dunia Istanbul ilikuwa na wakazi wengi wakristo hasa Wagiriki na Waarmenia. Waarmenia waliteswa wakati ule wakapungua na baada ya vita Wakristo walibaguliwa kwa jumla kwa hiyo wengi walihamia Ugiriki. Leo hii Wagiriki waliobaki ni 2000 - 3000 pekee na Waarmenia ni takriban 50,000.
 
== Majengo ==
Istanbul huwa na majengo mengi ya kihistoria kama vile
* [[Hagia Sofia]] ilikuwa kanisa kuu la Konstantinopoli ilijengwa kwa amri ya Kaisari Justiniano na kukamilishwa mwaka 537
* Ukuta wa Theodosio ulioimarishwa kwa amri wa Kaisari huyu na kuwa kinga la mji hadi uvamizi wa Waturuki.
* Makanisa ya kale, mengine kati yao yamebadilishwa kuwa misikiti
* Mnara wa Galata uliojengwa na Waitalia katika sehemu yao ng'ambo la Pembe la Dhahabu
* Misikiti mikubwa ya Milki ya Osmani kama vile [[Msikiti wa Suleymaniye]], [[Msikiti wa Sultan Ahmad]] na majengo mbalimbali ya [[Mimar Sinan]]
* [[Topkapi]] iliyokuwa ikulu ya masultani hadi 1923 na leo hii kati ya makumbusho muhimu duniani
* MNARA WA MSICHANA - KIZ KULESI
Kulingana na hadithi nyingi tofauti kuhusiana na KIZ KULESI, Constantine, Moja ya viongozi wa Byzantine alikuwa na binti yake ambaye inasemekana alikuwa mrembo sana ambaye alimpenda sana. Watabiri walitabiri kuwa kifo cha binti huyo kitatokana na kugonwa na nyoka.
Katika kumlinda binti yake na janga hilo, mfalme akaagiza kujengwe nyumba katikati ya kisiwa ambapo ndipo Kiz Kulesi ilipo hivi sasa. Lakini mwisho wa siku Yule binti aliuawa kwa kugongwa na nyoka aliyekuja kisiwani kupitia katika kikapu cha mboga.
Line 53 ⟶ 52:
[[Jamii:Bahari Nyeusi]]
 
{{Link FA|hr}}
{{Link FA|hu}}
{{Link FA|af}}
{{Link FA|ar}}
{{Link FA|hr}}
{{Link FA|hu}}
{{Link FA|lv}}
{{Link FA|mk}}
{{Link FA|pt}}
 
[[lez:Истамбул]]
 
[[ab:Асҭампыл]]
Line 147 ⟶ 144:
[[lb:Istanbul]]
[[lbe:Истамбул]]
[[lez:Истамбул]]
[[lmo:Istanbul]]
[[ln:Istanbul]]
Line 165 ⟶ 163:
[[oc:Istambol]]
[[os:Стамбул]]
[[pa:ਇਸਤਾਂਬੁਲ]]
[[pl:Stambuł]]
[[pnb:استمبول]]