Wapangwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (roboti Badiliko: en:Pangwa language; cosmetic changes
No edit summary
Mstari 1:
'''Wapangwa''' ni kabila kutoka [[Milima Livingstone]] karibu na pwani ya mashariki ya [[Ziwa Nyasa]], [[wilaya ya Ludewa]], [[Mkoa wa IringaNjombe]], kusini ya nchi ya [[Tanzania]]. Mwaka 2002 idadi ya Wapangwa ilikadiriwa kuwa 95150,000.
 
Chakula chao ni [[ugali]] wa [[mahindi]], [[ulezi]] na [[mtama]] kidogo. Kitoweo cha vyakula hivyo ni [[maharage]], samaki, [[nyama]] na jamii ya mboga mboga. Kinywaji chao ni pombe (ukhimbi) yaani kangala, komoni, [[ulanzi]] ambao hugemwa kutoka katika mmea uitwao mlanzi.
Mstari 5:
Hulima mazao mbalimbali katika maeneo ya miinuko na mabondeni kandokando ya mito. Ni wafugaji wa [[ng'ombe]], [[mbuzi]], [[kondoo]] na [[nguruwe]] (kitimoto). Pia hulima mazao ya biashara kama [[kahawa]], [[chai]], [[pareto]], [[mahindi]]. Kabila hili pia hupata matunda ya asili kama vile; masada, savula, makuhu, mahofita, minhingi, vudong'o na nisongwa.
Usafiri wao wa majiasili ni kwa chombo kiitwacho ngwichili ambacho kinatengenezwa kwa kutumia miti asilia.
 
Nyumba zao za asili kwa sasa ni za matofali ya udongo ya kuchoma na kuezekwa kwa bati, hata hivyo nyumba zao za asili zinajengwa kwa kutumia miti asili kugandikwa kwa udongo wa mfinyanzi na kuezekwa kwa nyasi aina ya hunji na lihanu.