Boksiti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: be:Баксіт
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza kn:ಬಾಕ್ಸೈಟ್; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Bauxite.jpg|thumb|300px|Mtapo wa boksiti]]
 
'''Bauxiti''' au '''Boksiti''' ni [[mtapo]] unaotumiwa kutengeneza [[alumini]]. Ni hasa hidroksidi ya alumini (Al<sub>2</sub>O<sub>3</sub>.3H<sub>2</sub>O) ikichanganywa na [[titani]], [[chuma]] au [[silikoni]].
Jina la Bauxiti limetokana na kijiji cha "Les Baux de Provence" katika [[Ufaransa]] ambako mtapo umegunduliwa mara ya kwanza. Leo hii huchimbwa hasa katika [[Australia]], [[Brazil]], [[Guinea]], [[Jamaika]] na [[India]].
 
Bauxiti ni msingi wa alumini na mambo yote yanayotengenezwa nayo. Kama [[metali]] imara na nyepesi alumini hutumiwa hasa kwa ndege na vyombo vingine vya usafiri lakini pia kwa ajili ya makopo, masanduku n.k. Matengenezo ya alumini kutokana na bauxiti huhitaji [[nishati]] nyingi hasa ya [[umeme]]. Kwa sababu hiyo viwanda vya alumini hujengwa karibu na vituo vya umeme na hii ni sababu ya kwamba nchi penye bauxiti haziwezi kufaidika na viwanda vyenyewe kama hawana umeme wa kutosha.
 
[[CategoryJamii:Madini]]
 
[[ar:بوكسيت]]
Mstari 35:
[[ka:ბოქსიტი]]
[[kk:Боксит]]
[[kn:ಬಾಕ್ಸೈಟ್]]
[[ko:보크사이트]]
[[lt:Boksitas]]