Wachagga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza fa:قوم چاگا
Mstari 4:
 
==Vikundi vya Wachagga==
Wachagga wana historia ndefu ya asili yao na maingiliano yao na makabila mengine. Kabila la kichagga ni mkusanyiko wa makabila madogo madogo (ya Kichagga) yaliyosambaa kijiografia kuzunguka mlima Kilimanjaro kuanzia Mashariki [[Tarakea]], [[Rombo]] hadi magharibi ya Kilimanjaro [[Siha]], [[Machame]]. Makabila ya Kichagga ni [[Wa-Rombo]], [[Wa-Marangu]],[[Wa-Kilema]], [[Wa-Old Moshi]], [[Wa-Kibosho]], na [[Wa-Machame]]. Makundi mengine madogo ya wachagga ni [[Wakirua-Vunjo]], [[Wa-Uru]], na [[Wa-Siha]].
 
==Lugha ya Kichagga==