Siasa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
==Siasa==
Siasa ni njia ya kufanya [[maamuzi]] katika [[taifa]], [[mji]] au hata [[dunia]] mzimanzima ([[siasa ya kimatatifa]]). Sehemu muhimu ya siasa ni [[majadiliano]] kati ya watu mbalimbali wenye [[nguvu]] au [[mamlaka]].
 
Katika [[dekokrasia]] kila mtu ana kiasi fulani cha nguvu, na kwa hiyo siasa ya demoskrasia ina maana ya watu wote kujadiliana kuhusu maamuzi.