Tofauti kati ya marekesbisho "Radha Mitchell"

32 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
d
r2.7.3) (Roboti: Imeongeza eo:Radha Mitchell; cosmetic changes
d (r2.7.3) (Roboti: Imeongeza eo:Radha Mitchell; cosmetic changes)
}}
'''Radha Rani Amber Indigo Anunda Mitchell''' (amezaliwa tar. [[12 Novemba]], [[1973]]) ni mshindi wa [[:en:Screen Actors Guild Awards|Tuzo ya Guild]], akiwa kama mwigizaji bora filamu na tamthilia kutoka nchini [[Australia]].
== Wasifu ==
=== Maisha ya awali ===
Mitchell alizaliwa mjini [[Melbourne]], [[Australia]]. Wazazi wake walitarikiana tangu yungali mdogo. Mama yake ni mwanamitindo ambaye baadaye alibadilika na kuwa mbunifu wa mavazi. Baba yake ni mtengenezaji wa filamu. Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya St. Michael's Grammar School. Jina lake la kwanza, "Radha", lina asili ya Uhindu katika Uhindi, ambapo inamaana ya Mungu wa Kihindi - Krishna. Kwa upande mwingine wa jina lake linatokana na Uhindi asilia, "Rani" linamaana ya Malikia na Anunda linamaana ya furaha. Mitchell linamaana ya mavegeteria, yaani watu wasio kula nyama na kufanya mazoezi ya [[Yoga]].
 
== Filamu alizocheza ==
* Sugar and Spice (2000-2008)
* Black Trade (1995)
* The Code (2008)
* The Surrogates (2009)
== Marejeo ==
# [http://www.usaweekend.com/04_issues/041212/041212radha_mitchell.html USA WEEKEND Magazine]
# [http://www.theglobeandmail.com/servlet/story/RTGAM.20071116.wvaughan16/BNStory/Entertainment/home globeandmail.com: Arts]
# [http://www.newsday.com/services/newspaper/printedition/sunday/fanfare/ny-fffast5391177sep30,0,1690039.story Fast Chat: Radha Mitchell - Newsday.com]
== Viungo vya nje ==
*{{imdb name|id=0593664|name=Radha Mitchell}}
* [http://radhascorner.com/ Radha Mitchell Fansite]
[[de:Radha Mitchell]]
[[en:Radha Mitchell]]
[[eo:Radha Mitchell]]
[[es:Radha Mitchell]]
[[fa:رادا میشل]]
44,008

edits