Nabii Eliya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
sahihisho Samaria - Israeli
No edit summary
Mstari 5:
Habari za [[nabii]] huyo maarufu sana katika [[Biblia]], na labda katika [[Qurani]] pia, zinapatikana hasa katika [[vitabu vya Wafalme]].
 
==Mazingira ya kazi yake==
Wakati [[mfalme Ahabu]] alipotawala Kaskazini ([[869 KK|869]]-[[850 KK|850]] hivi [[KK]]) [[Israeli]] alimuasi kabisa [[YHWH]] ili kumuabudu [[Baali]], kufuatana na sanamu mbili zilizotengenezwa na [[mfalme Yeroboamu I]] zikiwa na sura ileile ya Baali (fahali wa dhahabu). Mezani pa [[malkia Yezebeli]] walikuwa wanalishwa manabii wa uongo 850.
 
[[Waisraeli]] walielekea [[dini]] za kandokando kwa sababu zilikuwa zinaahidi kufanikisha [[maombi]] yao kwa [[ibada]] za [[hakika]], wakati [[Mungu]] ana [[hiari]] ya kupokea au kukataa [[sadaka]] zao. Waisraeli walijaribu kufuata pande zote mbili kwa pamoja, ila Mungu hakuweza kukubali, kwa kuwa ni peke yake tu. [[Imani]] yao iliyumba hasa wakati [[mfalme Ahabu]] alipotawala Kaskazini ([[869 KK|869]]-[[850 KK|850]] hivi [[KK]]) ambapo [[Yezebeli]], [[mke]] wake, alifanya [[juhudi]] kubwa za kuikomesha kabisa imani yao kwa YHWH ili wamuabudu Baali, mungu mkuu wa kwao aliyehusika na [[mvua]], kufuatana na sanamu mbili zilizotengenezwa na [[mfalme Yeroboamu I]] zikiwa na sura ileile ya Baali (fahali wa dhahabu). Mezani pa [[malkia]] huyo walikuwa wanalishwa manabii wa uongo 850huyo walikuwa wanalishwa manabii wa uongo 850, kumbe manabii wa Bwana waliuawa karibu wote.
Hapo [[Mungu]] akamtuma Eliya wa [[Tishbi]] ([[1Fal]] 17-18) ambaye kwanza alizuia mvua isinyeshe nchini miaka mitatu na nusu, halafu akashindana na manabii hao juu ya [[mlima Karmeli]]. Kwa kuteremsha moto toka mbinguni juu ya sadaka yake YHWH alithibitisha kuwa ndiye Mungu pekee. Baada ya Eliya kuwachinja wote aliruhusu mvua inyeshe tena. Ndiyo sababu anasifika kwa nguvu ya sala yake ([[Yak]] 5:17-18).
 
==Unabii wake==
Hasa ni kwamba, akisali juu ya [[mlima Sinai]] kama [[Musa]] mwanzoni mwa agano la Israeli na Mungu, alijaliwa kutokewa na Mungu katika sauti ndogo ya upepo mtulivu (1Fal 19:1-18). Hata katika [[Yesu]] kugeuka sura mlimani akatokea pamoja na Musa ili wamshuhudie kama wawakilishi wa [[Torati]] na [[Manabii]] ([[Mk]] 9:2-13).
 
Hapo [[Mungu]] akamtuma Eliya wa [[Tishbi]] ([[1Fal]] 17-18) ambaye [[jina]] lake lina maana ya kwamba, “Mungu wangu ni YHWH” na linajumlisha [[kazi]] yake ya kutetea kwa [[ari]] zote imani ya kweli hata akaiokoa. Ili kuondoa [[utata]] wa kuabudu pande mbili, Eliya kwanza alizuia mvua isinyeshe nchini miaka mitatu na nusu, ibada kwa Baali zisifanikiwe hata kidogo, halafu akashindana na manabii hao [[hadhara]] ya Israeli yote juu ya [[mlima Karmeli]]. Tofauti na [[mbinu]] za manabii 450 wa Baali, waliofikia kujichanja na kutoka [[damu]] ili kuvuta [[moto]] kutoka [[mbinguni]] wasifaulu, Eliya aliomba tu kwa [[unyofu]] kwamba Mungu ajitokeze ili kugeuza mioyo ya watu wake wamrudie. Kwa kuteremsha moto toka mbinguni juu ya sadaka yake YHWH alithibitisha kuwa ndiye Mungu pekee na kuwa anaendelea kuwaokoa watu wake. Baada ya Eliya kuwachinja wote aliruhusu mvua inyeshe tena. Ndiyo sababu anasifika kwa nguvu ya sala yake ([[Yak]] 5:17-18).
 
Hasa ni kwamba, baada ya kukimbia [[hasira]] ya Yezebeli aliyemuapia atamuua kabla ya [[kesho]] yake, akisali [[pango]]ni juu ya [[mlima Sinai]] kama [[Musa]] mwanzoni mwa agano la Israeli na Mungu[[Bwana]], alijaliwa kutokewa na kuagizwa upya na Mungu katika sauti ndogo ya upepo mtulivu akamilishe kazi yake hasa kwa kuwafanya [[Elisha]] nabii na [[Yehu]] mfalme (1Fal 19:1-18). Hata katika [[Yesu]] kugeuka sura mlimani akatokea pamoja na Musa ili wamshuhudie kama wawakilishi wa [[Torati]] na [[Manabii]] ([[Mk]] 9:2-13).
 
Kwa jinsi alivyofanya kazi kwa [[ari]], na kwa kupalizwa juu ya gari la moto ([[2Fal]] 2:1-18) akalinganishwa na moto ([[YbS]] 48:1-11) akatabiriwa atarudi kabla ya siku ya Bwana ([[Mal]] 3:23-24).
Line 15 ⟶ 19:
Ndiyo sababu [[Injili]] zinamtaja mara nyingi.
 
==Mwendelezo wa kazi yake==
Kazi yake iliyeendelezwa hasa na [[nabii Elisha]], ambaye anasifika pia kwa miujiza yake (YbS 48:12-16) na pamoja na mwalimu wake amechukuliwa na [[Yesu Kristo]] kama mfano wa [[unabii]] wake utakaowaokoa mataifa baada ya Israeli kumkataa ([[Lk]] 4:24-27).
 
Kati ya wanafunzi wake (walioitwa [[wana wa manabii]]) kazi yake kwa miaka zaidi ya 50 iliyeendelezwa hasa na [[nabii Elisha]], ambaye anasifika pia kwa miujiza yake (YbS 48:12-16) na pamoja na mwalimu wake amechukuliwa na [[Yesu Kristo]] kama mfano wa [[unabii]] wake utakaowaokoa mataifa baada ya Israeli kumkataa ([[Lk]] 4:24-27). Elisha alijihusisha sana na [[siasa]] akaombwa [[shauri]] na wafalme mbalimbali hata wa [[nchi za nje]]. Kwa kumpaka [[mafuta]] Yehu alianzisha [[mapinduzi]] dhidi ya [[ukoo]] wa Ahabu na kukomesha [[upotoshaji]] wake wa imani. Mapinduzi hayo yakaenea [[kusini]] kwa kumuua [[Atalia]], binti wa Yezebeli, aliyetawala miaka saba kisha kuua watu wote wa ukoo wa [[Daudi]] ([[mtoto]] [[Yoashi]] tu alinusurika).
 
Kadiri ya [[Injili ya Luka]], [[malaika Gabrieli]] alitabiri kuwa [[Yohane Mbatizaji]] atakayezaliwa atarithi [[karama]] ya Eliya na kutekeleza unabii wa [[Kitabu cha Malaki]] juu yake.