Walawi (Biblia) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Simplifying links ([link|linktext] → [link]text) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Kitabu cha Walawi''' (pia: '''Mambo ya Walawi''') ni kitabu cha tatu katika [[Biblia ya Kiebrania]] ([[
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
Mstari 5:
== Majina ==
Katika [[lugha]] asili ya [[Kiebrania]] kinaitwa ''ויקרא'' ''Wayikra'' (maana yake “Na aliita”) ambalo ni neno la kwanza katika kitabu hicho.
Katika tafsiri ya kwanza ya [[Kiyunani]] ([[Septuaginta]]) kinaitwa ''Λευιτικóς'', ''Levitikos'', yaani ''Cha Kilawi'' kutokana na mada zake zinazohusu Walawi, yaani ma[[kuhani]].
Wengine wanakiita ''Kitabu cha Tatu cha [[Musa]] (au Mose)'' kwa vile inafikiriwa kuwa ndiye mwandishi wa kitabu hicho.
|